|
|
Nakala ya mwajiri
|
|
|
|
ANCOSO Group
|
|
|
|
|
|
Kampuni
|
Kikundi cha ANCOSO kimeundwa na Ancoso Development GmbH ya Ujerumani, Ancoso Business Technologies AG ya Uswisi na Ancoso S.R.L ya Rumania. Tunajulikana kama kampuni ya kuunda vyombo vya matumizi ya Kompiuta za hali ya juu zaidi na kutekeleza huduma zingine zihusianazo na vyombo hivyo ulimwenguni kote. Wafanya kazi wetu wanatumia mawaidha mapya, hufuata teknolojia mpya na huwa wamemakinika zaidi katika kazi yao. Katika mipangilio yetu tunasisitiza kuongoza biashara yetu kwa mwangalio wa kimataifa na kutumia ujuzi bora na uliotofautiana wa wafanya kazi wote wa Ancoso. Washirika tulio nao wanao utatuzi wa haraka kwa kampuni yako. Watakupa motisha ya kufaulu katika biashara yako. Wakiwa muungano wa wataalamu, huwa wanatumia njia fupi, huwajibika zaidi na hujizatiti kutoa huduma bora. Kwa ajili ya kukua kwetu huwa tunatatafuta waajiriwa kila mara ili kuongezea nguvu mashirika yetu. Huwa wanaungana katika vikundi vidogo na kuunda vyombo vya kisasa na vyenye kufaa mtumizi wakitumia Teknolojia za Open Source, Lotus Notes na IBM WebSphere. Muondoko wetu wa kutozingatia mamlaka ya wafanya kazi utakupa nafasi nzuri ya kufanya kazi kwa ubunifu. Viongozi wa vikundi vya Kampuni yetu wanaweza kuuwajibika katika kiwawango cha chini mno cha uendelezaji wa kazi wa kampuni.
|
|
Bidhaa/ Huduma
|
Mitandao, mikabala ya usimamizi wa yaliyomo, utatuzi wa usimamizi wa wafanya kazi, usimamizi wa ujuzi, usimamizi wa ushirikiano, usimamizi wa nakala, usimamizi wa uhusiano wa wateja na HBC14Java.
|
|
Maelezo
|
Aina ya kazi:
Mahali:
nambari ya wafanya kazi:
nambari inayotarajiwa:
|
vyombo vya ndani vya kompiuta/ mtandao
D-Zwenkau, CH-Lommis, Ro-Cluj Napoca
7, 12, 4
12, 20, 20
|
wasiliana na
|
Egbert Schindler
034203 - 432 625
sample[at]mail.com
|
|
|
 | |
 |
|
|
|